Ujumbe, 25 Julai 2024
Other languages:
English,
العربية,
Беларуская,
Čeština,
Deutsch,
Español,
Français,
Hrvatski,
Italiano,
Kiswahili,
Magyar,
Nederlands,
Polski,
Português,
Русский,
Slovenčina,
Slovenščina,
Suomi,
Tiếng Việt,
Українська
“Wanangu wapendwa! Kwa furaha nimewachagua ninyi na ninawaongoza kwa sababu ndani yenu, wanangu, ninaona watu wa imani, matumaini na maombi. Wanangu, fahari ya kuwa wangu iwaongoze, nami nitawaongoza kwake Yeye aliye njia, na kweli na uzima. Mimi pia nipo pamoja nanyi ili amani iweze kushinda ndani yenu na kuwazunguka maana Mungu alinituma kwenu kwa nia hii. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose