Ujumbe, 25 Desemba 2022
Other languages:
English,
العربية,
Беларуская,
Čeština,
Deutsch,
Español,
Français,
Hrvatski,
Italiano,
Kiswahili,
Magyar,
Nederlands,
Polski,
Português,
Русский,
Slovenčina,
Slovenščina,
Suomi,
Tiếng Việt,
Українська
“Wanangu wapendwa! Leo ninawaletea Mwanangu Yesu ili muwe amani yake na kielelezo cha utulivu na furaha ya Mbinguni. Salini, wanangu, ili muwe wazi kukaribisha amani, kwa sababu mioyo mingi imefungwa kupokea wito ya nuru ibadiliyo mioyo. Niko pamoja nanyi na ninawaombea mjifungue kumkaribisha Mfalme wa Amani anayeijaza mioyo yenu joto na baraka. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose