Ujumbe, 25 Desemba 2025

Language 

Ujumbe, 25 Desemba 2025

Wanangu wapendwa! Hata leo - wakati Mungu ameniruhusu kuwaleteeni mtoto Yesu, mfalme wa amani, ili awajaze kwa shauku ya upendo na amani, ili kila moyo uwe kama moyo wake katika wakati huu wa neema - iweni watetezi jasiri wa upendo wa Mungu wenu, ili awape amani yake katika wakati huu wa neema. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
25 Novemba 2025 (Monthly)
25 Januari 2026 (Monthly)
 
To compare Medjugorje messages with another language versions choose