Ujumbe, 25 Agosti 2023
Other languages:
English,
العربية,
Беларуская,
Čeština,
Deutsch,
Español,
Français,
Hrvatski,
Italiano,
Kiswahili,
Magyar,
Nederlands,
Polski,
Português,
Русский,
Slovenčina,
Slovenščina,
Suomi,
Tiếng Việt,
Українська
“Wanangu wapendwa! Katika wakati huu wa neema ninawaalika ninyi kwenye maombi kwa moyo. Mioyo yenu, wanangu, igeuzwe kuelekea mbinguni kwa maombi, ili mioyo yenu ipate kuhisi Mungu wa upendo anayewaponya na kuwapenda kwa upendo mkuu. Mimi niko pamoja nanyi kuwaongoza kwenye njia ya uongofu wa moyo. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose