Ujumbe, 25 Julai 2023
Other languages:
English,
العربية,
Беларуская,
Čeština,
Deutsch,
Español,
Français,
Hrvatski,
Italiano,
Kiswahili,
Magyar,
Nederlands,
Polski,
Português,
Русский,
Slovenčina,
Slovenščina,
Suomi,
Tiếng Việt,
Українська
“Wanangu wapendwa! Katika wakati huu wa neema, ambao Aliye Juu amenituma niwapende ninyi na kuwaongoza katika njia ya uongofu, toeni sala zenu na sadaka zenu kwa ajili ya wale wote walio mbali na wasiojua upendo wa Mungu. Ninyi, wanangu, muwe mashahidi wa upendo na amani kwa mioyo yote isiyotulia. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose